MKANDARASI AKABIDHIWA ENEO LA UJENZI WA BWAWA LENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI KUMI NA MOJA CHAMWINO.

Na; Mwandishi wetu – Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amemtaka mkandarasi NAKUROI CONSTRACTORS, kukamilisha ujenzi wa Bwawa litakalotumika kwa kilimo cha Umwagiliaji lililopo Membe wilayani Chamwino kwa wakati uliopangwa baada ya kukabiziwa eneo la ujenzi wa mradi huo. Mhe. Senyamule, Serikali imedhamiria kufanya mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo ili kuinua